Thursday, August 15, 2013
SOMA NI MUHIMU::::::: Mapenzi kwa njia ya MDOMO Ni chanzo cha SARATANI YA KOO....
Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa kufahamu tiba halisi ya maradhi hayo hatari. Takwimu kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road zinaonyesha ongezeko la saratani ya mdomo na koo kwa kiasi kikubwa kutoka kesi 167 mwaka 2006 hadi 277 mwaka 2012.
Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Ocean road, Julius Mwaiselage anaeleza kuwa watanzania wasipende kuiga mambo ambayo si sahihi bila kujua madhara yake kama kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo. “Saratani ya mdomo ipo, na nyingine zinasababishwa na zinaa “ anasema Dk Mwaiselage.
Tafiti za saratani
Tafiti mbalimbali zimewahi kufanyika nchini na kubaini kuwepo kwa ongezeko la saratani ya mdomo.Utafiti uliofanywa na Dk Innocent Mosha wa Kitengo cha Patholojia cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), umebaini aina za saratani 1,594, kati ya hizo 509 zikiwa ni za midomo kwa mwaka 2003 pekee.
Matokeo hayo yanaonyesha kuwa kati ya saratani 509 za mdomo, saratani 242 zilisababishwa na Virusi vya Human Papiloma ambavyo hutokana na zinaa. “Ninachojua mimi ni kuwa Virusi vya HPV husababishwa na magonjwa ya zinaa, hivyo mtu anayeugua saratani ya aina hiyo, imetokana na zinaa,” anasema Dk Mosha.
Wanaume waathirika zaidi wa Saratani
Takwimu hizo ni zile zilizopatikana kwa watu waliokwenda kufanyiwa uchunguzi katika Mkoa wa Dar es Salaam pekee. Dk Mosha anasema kuwa wanaume ndiyo huathiriwa zaidi na saratani ya mdomo ambapo kwa hapa nchini, asilimia 53 ya wanaume waliofika MNH kwa ajili ya vipimo, walibainika kuugua saratani hiyo, huku wanawake wakiwa ni asilimia 47. Utafiti kama huo ulifanywa pia na Dk Amos Mwakigonja, mkuu wa Idara ya Patholojia katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Muhimbili (MUHAS).
Dk Mwakigonja alifanya utafiti wa saratani ya mdomo aina ya Kaposi’s Sarcoma ambapo wagonjwa 78 walibainika na saratani hiyo kuanzia mwaka 1990 hadi 2003. “Saratani za mdomo zipo za aina nyingi na zimetofautiana kulingana na visababishi vyake,” anasema Dk Mwakigonja. Katika utafiti wake Dk Mwakigonja alibaini kuwa wanawake wengi walikuwa na saratani ya mdomo aina ya Kaposi’s Sarcoma kuliko wanaume.
Hata hivyo, utafiti huo ulionyesha kuwa asilimia 50 ya wanaume walikuwa na saratani ya mdomo hatari zaidi (systemic) kuliko wanawake ambao ni asilimia 37.
Mapenzi kwa mdomo husababisha maradhi
Dk Mwakigonja anasema kuwa mapenzi yoyote kwa njia ya mdomo lazima yasababishe maradhi ya zinaa iwapo mmoja ameambukizwa. Pia anasema kwamba sampuli nyingi za wanaume wanaojihusisha na mapenzi na wanaume wenzao (mashoga) zilibainika na saratani ya mdomo. Utafiti huo ni sehemu ya utafiti wa Shahada ya Uzamivu ambao ulionyesha kuwa wagonjwa wengi wa saratani ya mdomo walikuwa ni wanaume wenye umri wa miaka kati ya 38 na kuendelea na wanawake ni 31.
Ufatiti wa WHO Tanzania
Shirika la Afya Duniani (WHO) pia lilifanya utafiti mwaka 2010 nchini kwa kushirikiana na Kituo cha Taarifa za HPV, ambapo ilibainika kuwa asilimia 20 ya saratani za koo na mdomo nchini zinasababishwa na ufanyaji wa mapenzi kwa njia ya mdomo.
Taarifa hizo za WHO zinaeleza kuwa wanaume 747 hugundulika na saratani ya mdomo kila mwaka wakati wanawake 472 hubainika na saratani hiyo pia. Wakati huohuo, wanaume wanaopoteza maisha kutokana na saratani hiyo ni 444, kwa mwaka na wanawake ni 270, kwa mwaka. Utafiti wa WHO umebaini kuwa saratani ya mdomo inashika nafasi ya sita katika aina 24 za saratani 24 zinazoisumbua zaidi Tanzania.
Ripoti hiyo inaeleza kuwa wanaume wanaoathirika zaidi ni wenye umri wa kati ya miaka 15 na 55, ambao tayari wameshaanza kujihusisha na ngono. Kama maradhi mengine ya kuambukiza, Virusi vya HPV huambukizwa kwa urahisi zaidi kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanaume kuliko kutoka kwa wanaume kwenda kwa wanawake. Utafiti huo uliodhaminiwa na mfuko wa Bill na Melinda Gates na Kituo cha Saratani na Mpango wa Utafiti wa Taasisi ya ICO unaeleza kuwa mitandao ya kijamii na picha za ngono ndiyo chanzo cha watu wengi kuiga ufanyaji wa mapenzi ya aina hiyo.
Kwa mujibu wa gazeti la The New York Times, tafiti zimefanyika na kubaini kuwa asilimia 70 ya wagonjwa wanaobainika na saratani ya koo na mdomo duniani, husababishwa na Virusi vya Human Pappiloma vinavyotokana na magonjwa ya zinaa.Tafiti hizo zinaonyesha kuwa wagonjwa wengi wanaogundulika na saratani hiyo ni wanaume wenye umri wa kati, wenye uwezo wa kifedha, wasiovuta sigara wala siyo walevi waliokubuhu.
Utafiti huo ulibaini kuwa wanaume wapo hatarini zaidi kupata saratani ya koo inayosababishwa na Virusi vya HPV. Miaka ya 80, idadi ndogo ya watu waliougua saratani ya koo walihusishwa na maambukizi ya Virusi vya HPV. Kihistoria, watu waliobainika na ugonjwa huo, ni wenye umri wa miaka 70 kwenda juu ambao walikuwa ni wale walevi waliokubuhu na wavuta sigara.
Ilielezwa kuwa Virusi vya HPV vipo kwa wingi kiasi ambacho watu wazima wanaojihusisha na ngono ya aina yeyote ile, huweza kupata maambukizi ya zinaa hata kama siyo saratani. Hata hivyo ilibainishwa kuwa saratani isababishwayo na virusi vya HPV ni rahisi kuitibu kuliko saratani ya koo isababishwayo na tumbaku au pombe kali.
Virusi vya HPV ni nini?
Kwa jina la jumla, saratani ya koo au mdomo huitwa saratani ya kichwa na shingo. (Neck and Head Cancer) HPV ni miongoni mwa virusi hatari zaidi duniani visababishwavyo na magonjwa ya zinaa na vinaweza kuathiri sehemu mbalimbali za mwili. Zipo aina zaidi ya 120 za HPV, baadhi huweza kuzalisha usugu (warts) ambazo si saratani katika sehemu za siri, mikononi na miguuni. Maambukizi ya HPV hufanyika kwa urahisi, hata kwa kugusana ngozi au majimaji, huku maambukizi mengine yakisababishwa na ngono.
Virusi hatari na vinavyosababisha saratani ni HPV-16, HPV-18, HPV-31 na HPV 45. Aina hii ya Virusi vya HPV husababisha saratani ambapo uvimbe waweza kujitokeza kwa ndani na unaweza usionekane ukilinganisha na vivimbe vingine vya saratani. Wataalamu wanasema HPV-16 na HPV-18 inahusishwa zaidi na saratani ya shingo ya kizazi na endapo mapenzi kwa njia ya mdomo yatafanywa na mtu mwenye uambukizo huu ni rahisi
Muuaji Wa Bilionea Kilimanjaro Anaswa
Polisi wamefanikiwa kumtia mbaroni mfanyabiashara tajiri wa madini ya Tanzanite huko Mirerani anayetajwa kuwa ndiye aliyepanga na kukodi watu waliomuua bilionea Erasto Msuya.
Habari za uhakika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi zimedai kuwa mfanyabiashara huyo alikamatwa mwishoni mwa wiki na jana na juzi alikuwa akihojiwa na makachero.
Kwa
mujibu wa vyanzo hivyo, mfanyabiashara huyo ndiye aliyetoa fedha za
kununulia pikipiki mbili zilizotumika katika mpango huo na pia alitoa
fedha kwa ajili ya kununua simu mpya na laini mpya.“Tumewakamata watu
wametupa mwanga mzuri na huyo mfanyabiashara ndiye aliyetoa fedha za
kununulia pikipiki na siku moja kabla ya tukio zilihifadhiwa nyumbani
kwake,” alidokeza polisi mmoja.
Habari hizo zimedai kuwa polisi pia imewahoji mawakala wa kampuni za simu ambao walitumiwa kusajili laini mpya za simu zilizotumika kumpigia marehemu na kutumika kupanga mauaji hayo.
Pikipiki hizo mbili, zilinunuliwa siku moja kabla ya tukio kisha zikahifadhiwa nyumbani kwa mfanyabiashara huyo hadi siku iliyofuata ambapo aliwakabidhi wauaji na zote zimekamatwa.
Mahojiano kati ya mfanyabiashara huyo na Polisi yamekuwa yakifanyika kwa siri na katika kituo cha polisi (jina tunalo) na kwamba mambo ni mazuri ingawa jina lake halijatajwa.
credit http://networkedblogs.com/O73DM
Tuesday, August 13, 2013
YAMEZIDI SASA:::::: BILIONEA MWINGINE AUAWA KWA KUPIGWA RISASI JIJINI DAR
MAUAJI ya wafanyabiashara wakubwa ‘mabilionea’ yameshika kasi nchini
ambapo baada ya tajiri mkubwa Arusha, Erasto Msuya kuuawa kwa risasi
hivi karibuni, Agosti 3, 2013 bilionea Elia Daniel Endeni (49) naye
aliuawa kwa kupigwa risasi nje kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wake
mdogo aitwaye Juliana Labson (28).
Tukio hilo lilijiri siku hiyo saa 2 usiku maeneo ya Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam ambako ni nyumbani kwa Juliana.
Elia alikuwa na kampuni iitwayo Elia Herdons Ltd ya kupakua na kupakia mizigo ya makontena bandarini, maduka na majumba ambapo polisi walikuta shilingi 151,000,000 taslimu ofisini kwake akiwa amezihifadhi.
Ilidaiwa kuwa muda huo, Elia alikuwa amefika nyumbani kwa mwanamke huyo lakini kabla hajashuka katika gari lake, Pick-up lenye namba za usajili T 319 AFJ alichomolewa kwenye gari na kupigwa risasi na watu wawili wasiojulikana.
Taarifa zilieleza kwamba waliotekeleza unyama huo walikuwa wakimfuata marehemu huyo kwa nyuma wakiwa kwenye pikipiki.
Baadhi ya watu waliozungumza na gazeti hili walisema marehemu alikuwa na kawaida ya kufika nyumbani kwa Juliana nyakati za usiku na kabla ya kushuka kwenye gari, alikuwa akimpigia simu mwanamke huyo ili afungue mlango.
“Ilikuwa wakati anapiga simu ndipo alivamiwa na watu hao ambao walivunja kioo cha gari kwa kutumia kitako cha bastola kisha kutoa ‘loki’ ya mlango na kumchomoa.
“Walimdhibiti bila kutoa sauti, wakati huo sisi tulikuwa tumekaa nje tukishuhudia lakini tuliamini kwamba huenda walikuwa wamegongana barabarani kwani hata marehemu hakusikika akiomba msaada,” alisema mwanamke mmoja jirani ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.
Mwanamke huyo aliendelea kusema kwamba hakukusikika mlio wa risasi, bali marehemu alianza kulia ghafla akiomba msaada.
Aliongeza kuwa watu walipokaribia eneo la tukio, wauaji hao walipiga risasi mfululizo hewani, kitendo kilichowafanya watawanyike kuokoa maisha yao na majambazi hayo yakatoweka.
Inadaiwa majirani walipofika, walimkuta tajiri huyo akiwa amelala katika dimbwi la damu huku ameishiwa nguvu kiasi kwamba alishindwa kuongea chochote.
Habari zinasema mke huyo mdogo aliyezaa naye watoto wawili, alipotoka ndani alizimia baada ya kuona Elia akiwa katika dimbwi la damu.
Muda mfupi baadaye, polisi walifika eneo la tukio na kumchukua majeruhi kumpeleka Hospitali ya Temeke ambapo alifariki dunia akiwa njiani.
Taarifa zinadai kwamba Julai 28, mwaka huu marehemu Elia alikoswa na risasi akiwa njiani kwenye gari akitokea msibani Same, Kilimanjaro.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, ACP Engelbert Kiondo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kwamba walifika katika eneo hilo wakiwa na wasiwasi kwamba huenda watu hao walimnyang’anya bastola.
“Ilitubidi twende ofisini kwake Kurasini na kupekua, tukaikuta bastola. Hili suala linaonekana ni kisasi kwa sababu wamemuua bila kuchukua kitu chochote, tunaendelea na upelelezi,” alisema Kamanda Kiondo.
Mazishi ya Elia yalifanyika Jumatano iliyopita, Same ambapo Juliana alikuwa miongoni mwa waombolezaji. Mke mkubwa wa marehemu aishiye Kimara King’ong’o jijini Dar ndiye aliyekuwa ameongoza msiba huo.
Tukio hilo lilijiri siku hiyo saa 2 usiku maeneo ya Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam ambako ni nyumbani kwa Juliana.
Elia alikuwa na kampuni iitwayo Elia Herdons Ltd ya kupakua na kupakia mizigo ya makontena bandarini, maduka na majumba ambapo polisi walikuta shilingi 151,000,000 taslimu ofisini kwake akiwa amezihifadhi.
Ilidaiwa kuwa muda huo, Elia alikuwa amefika nyumbani kwa mwanamke huyo lakini kabla hajashuka katika gari lake, Pick-up lenye namba za usajili T 319 AFJ alichomolewa kwenye gari na kupigwa risasi na watu wawili wasiojulikana.
Taarifa zilieleza kwamba waliotekeleza unyama huo walikuwa wakimfuata marehemu huyo kwa nyuma wakiwa kwenye pikipiki.
Baadhi ya watu waliozungumza na gazeti hili walisema marehemu alikuwa na kawaida ya kufika nyumbani kwa Juliana nyakati za usiku na kabla ya kushuka kwenye gari, alikuwa akimpigia simu mwanamke huyo ili afungue mlango.
“Ilikuwa wakati anapiga simu ndipo alivamiwa na watu hao ambao walivunja kioo cha gari kwa kutumia kitako cha bastola kisha kutoa ‘loki’ ya mlango na kumchomoa.
“Walimdhibiti bila kutoa sauti, wakati huo sisi tulikuwa tumekaa nje tukishuhudia lakini tuliamini kwamba huenda walikuwa wamegongana barabarani kwani hata marehemu hakusikika akiomba msaada,” alisema mwanamke mmoja jirani ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.
Mwanamke huyo aliendelea kusema kwamba hakukusikika mlio wa risasi, bali marehemu alianza kulia ghafla akiomba msaada.
Aliongeza kuwa watu walipokaribia eneo la tukio, wauaji hao walipiga risasi mfululizo hewani, kitendo kilichowafanya watawanyike kuokoa maisha yao na majambazi hayo yakatoweka.
Inadaiwa majirani walipofika, walimkuta tajiri huyo akiwa amelala katika dimbwi la damu huku ameishiwa nguvu kiasi kwamba alishindwa kuongea chochote.
Habari zinasema mke huyo mdogo aliyezaa naye watoto wawili, alipotoka ndani alizimia baada ya kuona Elia akiwa katika dimbwi la damu.
Muda mfupi baadaye, polisi walifika eneo la tukio na kumchukua majeruhi kumpeleka Hospitali ya Temeke ambapo alifariki dunia akiwa njiani.
Taarifa zinadai kwamba Julai 28, mwaka huu marehemu Elia alikoswa na risasi akiwa njiani kwenye gari akitokea msibani Same, Kilimanjaro.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, ACP Engelbert Kiondo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kwamba walifika katika eneo hilo wakiwa na wasiwasi kwamba huenda watu hao walimnyang’anya bastola.
“Ilitubidi twende ofisini kwake Kurasini na kupekua, tukaikuta bastola. Hili suala linaonekana ni kisasi kwa sababu wamemuua bila kuchukua kitu chochote, tunaendelea na upelelezi,” alisema Kamanda Kiondo.
Mazishi ya Elia yalifanyika Jumatano iliyopita, Same ambapo Juliana alikuwa miongoni mwa waombolezaji. Mke mkubwa wa marehemu aishiye Kimara King’ong’o jijini Dar ndiye aliyekuwa ameongoza msiba huo.
Monday, August 12, 2013
CHEKA NA MTANDAO;;;; Atumia Biblia Kumtongoza Msichana na Kumpata!
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 “Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.”
Binti: Lakini mimi sikupendi jamani.
Jamaa: Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 “Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.”
Binti: Mh! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno?
Jamaa: Injili ya Mathayo 12:34b “Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.”
Binti: Jamani leo kazi. Mi ntajuaje kwamba we ni mkweli na mwaminifu?
Jamaa: Injili ya Marko 13:31 “Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.”
Binti: Wewe! Na kwanini umekuja kwangu? Wasichana mbona wako wengi tu!
Jamaa: Mithali 31:29 “Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.”
Binti: We una mambo wewe! Sasa mimi kwangu umependa kitu gani?
Jamaa: Wimbo Ulio Bora 4:7 “Mpenzi wangu, u mzuri pia pia, Wala ndani yako hamna ila.”
Binti: Mh! Huo uongo, mbona mimi hata sio mzuri kihivyo. Unaongeza chumvi tu!
Jamaa: Mithali 31:30 “Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.”
Binti: Nikisema nimekukubalia itakuaje?
Jamaa: Mwanzo 2:24 ” Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.”
Binti: Jamani we mkaka. Inakuaje unajua maandiko kiasi hicho?
Jamaa: Yoshua 1:8 “Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.”
Binti: Wowwww! Naona unampenda sana Mungu.
Jamaa: Zaburi 34:8 “Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.”
Binti: Mh! Haya bwana. Basi nipe muda nifikirie ombi lako.
Jamaa: Wafilipi 4:8 “Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.”
Binti: Mh! Jamani wewe, haya, nimekubali. Mpaka hapo nakupenda tayari!!
Jamaa: Ufunuo wa Yohana 22:21b “Amina”
HII KALI::: Bilionea Msuya kuzikwa leo, jeneza lafunguliwa kwa ‘rimoti’
Arusha. Mazishi ya kifahari yanaandaliwa na familia ya marehemu Erasto Msuya, huku ikielezwa kuwa jeneza litakalotumika kubeba mwili wake linafunguka kwa kutumia ‘rimoti’.
Msuya aliyeuawa wiki iliyopita, anazikwa leo huku
familia ikitangaza kutokulipiza kisasi kwa waliohusika, badala yake
wamemwachia Mungu.
Kinachovutia katika msiba huo ni jeneza lililobeba
mwili wa mfanyabiashara huyo lililoagizwa Nairobi, la aina yake huku
likifunguliwa kwa kutumia ‘rimoti’.
Jeneza hilo lililoagizwa kutoka Kampuni ya
Montezuma & Monalisa Funeral Home, linafunguliwa kwa kubonyeza kifaa
maalumu hata mhusika anapokuwa mbali.
Hali hiyo ilionekana kuwaacha na mshangao maelfu
ya waombolezaji waliofika kuaga mwili wakati wa ibada iliyofanyika
nyumbani kwake, Kwa Iddi, wilayani Arumeru.
Mfanyabiashara huyo aliyeuawa kwa kumiminiwa
risasi zaidi ya 20 na watu wasiojulikana, anazikwa leo nyumbani kwao
eneo la Kairo Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara.
Kaka wa marehemu, Israel Msuya, alisema jana kuwa
mazishi hayo yatafanyika makaburi ya familia ya mzee Elisaria Msuya
‘Kikaango’, baba wa marehemu Erasto.
Kwa mujibu wa Kamati ya Maandalizi ya mazishi hayo
inayoongozwa na kaka mkubwa wa familia ya Msuya, Gady, zaidi ya Sh100
milioni zimepangwa kugharimia shughuli za maombolezo na mazishi.
Jeneza na gari maalumu la kubebea mwili wa
marehemu yameagizwa kutoka Kampuni ya Montezuma & Monalisa Funeral
Home ya Nairobi, Kenya kwa gharama ya Sh8 milioni.
Chakula, vinywaji, mapambo na magari ya kukodishwa
kutoka Arusha kwenda Mirerani na kurudi yanatarajiwa kugharimu zaidi ya
Sh80 milioni.
Katika hatua nyingine, polisi mkoani Arusha
imeendelea kuwahoji wafanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite wa
Mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wakidaiwa kuhusika na kifo
hicho.
Habari zilizopatikana jana zinadai mfanyabiashara
mmoja kijana ambaye aliibuka ghafla kuwa tajiri mkubwa kutokana na
biashara ya madini ya Tanzanite, anashikiliwa Arusha kwa mahojiano.
Jana, kwenye viunga vya Mji wa Mirerani watu walitangaziwa kuwa
mfanyabiashara huyo, alikuwa anashikiliwa kwa mahojiano kuhusiana na
kifo hicho.
Hata hivyo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha,
Liberatus Sabas, hakupatikana mara moja kuelezea suala hilo kwani simu
yake ilipopigwa ilikuwa haipatikani.
Marehemu ameacha mke na watoto wanne, huku akiacha
rasilimali nyingi ikiwamo jumba la kifahari lililopo Sakina kwa Idd,
hoteli maarufu za SG Resort na Mezza Luna zilizopo Arusha.
AJALI AJALI AJALI AJALI........... MPAKA LINI?
Lilikuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Arusha, lilipata ajali maeneo ya barabara ya Chalinze- Segera Bagamoyo. Abiria wawili wamefariki dunia na wengine 63 wamejeruhiwa na kulazwa katika vituo vya afya kadhaa, zahanati pamoja na Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani baada ya basi mali ya Kampuni ya Meridian kuacha njia na kupinduka jana katika Barabara Kuu ya Chalinze- Segera wilayani Bagamoyo mkoani Pwani
Abiria waliofariki ni miongoni mwa majeruhi 24 wa ajali hiyo ambao walipelekwa moja kwa moja kupata matibabu katika Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, Tumbi baada ya hali zao kuonekana ni mbaya zaidi ya wengine katika eneo la tukio. Wengi walikuwa wamevunjika sehemu mbalimbali za miili yao.
Kamanda wa Polisi Pwani Ulrich Matei alithibitisha kutokea ajali hiyo.
Akizungumza hospitali hapo, Mganga Mkuu wa Hospitali ya hiyo, Dk Peter Dattan alithibitisha kupokea baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo na kusema kuwa kati ya 24 waliofikishwa hapo wawili walifariki na wote ni wanaume majina yao bado hayajajulikana.
Dk Dattan alisema majeruhi 22 wanaendelea kupatiwa
matibabu na kati yao wanawake ni 12 na kwamba kwa jumla hali zao wote
ni mbaya kutokana na majeraha makubwa waliyoyapata.
Naye Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Chalinze
walikolazwa majeruhi wengine Dk ,Victor Bamba akizungumza kituoni hapo
alisema majeruhi waliofikishwa hapo ni 12.
Alisema majeruhi watatu kati ya hao walikuwa wakifanyiwa mpango wa kupelekwa Tumbi baada ya hali zao kubadilika na kwamba wengi wao wameumia zaidi sehemu za kichwani, kuvunjika miguu, mikono na mbavu
Dk Bamba aliiomba Serikali na wadau wa afya
kuhakikisha kuwa utoaji na usambazaji dawa na vifaa tiba unalenga kwenye
maeneo yenye ajali nyingi za barabarani ili kuweza kupatikana dawa na
vifaa tiba kwa wakati pindi inapotokea matukio ya ajali.
Kwa mujibu wa mashuhuda na wakazi wa Kijiji cha
Kimange, Hamis Shaaban na Yusufu Mzee walisema ajali hiyo ilitokea saa
5.40 asubuhi jana
mwananchi.
mwananchi.
UTAMJUAJE MWENYE MAPENZI YA KWELI?????
Nimeandika mada hii kutokana na watu wengi kushindwa kutofautisha kupendwa kweli na kutamaniwa. Wapo walioingia mkenge kwa neno hilo hasa walio wageni katika uwanja huu wa mahaba. Ukiambiwa unapendwa basi unachanganyikiwa na kusahau maneno matupu hayajengi nyumba.
Nina maana gani?
Watu wengi wamekuwa wakitumia neno hili kama mtego wa kumpata mtu, kwa kujifanya anakupenda sana na nahau nyingi za mapenzi ambazo zinaweza kukufanya masikio yako yazibe na kuona nani kama wewe.
Siku zote mtafutaji ana lugha tamu ya mapenzi na kabla ya kutamka lolote lazima atangulize nakupenda sana na kuongezea ajuavyo. Hii si mara moja watu kuingia mkenge inapotokea wanakutana na hali hiyo.
Lazima uelewe serikali ya mwili wako inakutegemea wewe, ukiipeleka vibaya lawama zitakuwa juu yako. Usiwe na papara ya kutoa uamuzi wa kukubali uambiwavyo unapendwa bila kufikiria kwa kina. Hakuna hata siku moja mtu anayekutaka kimapenzi akuambie anakuchukia.
Fikiri kabla ya kutenda na kuona kauli uliyopewa ina nia gani na wewe, kweli anakupenda au anataka kukuchezea na kukuacha.
Katika uchunguzi wangu nimegundua wengi hupima kwa masikio juu ya kile aambiwacho na si kufikiria nini hasa kilichomvutia aliyekutamkia maneno hayo. Japo kakutamkia anakupenda, ni vema ukafanya kadiri uwezavyo kupata muda kufikiria kwa kina kabla ya kutoa uamuzi wowote ambao unaweza kukufanya uwe na faida au hasara.
Neno nakupenda siyo mapenzi kamili, bali tabia ya mtu na kuonyesha kweli anakupenda kwa dhati. Akupendaye huwa hana haraka ya kufanya ngono, hufuata taratibu zote ili mradi kujenga uaminifu moyoni mwako.
Hii hutokana na kuwa na uhakika wewe ni wake, hana hofu ya kutanguliza ngono mbele katika uhusiano wenu wa kimapenzi. Ukiona umekutana na mtu anayetanguliza ngono baada ya neno nakupenda huyo hakupendi bali anakutamani.
Tumekuwa tunatumia neno nakupenda kama kiwakilishi cha ujumbe wa mapenzi na si penzi kamili.
Mapenzi ya kweli ni ya vitendo na si maneno, anayekupenda utamjua tu wala hajifichi. Atakuwa mpole, mwenye huruma, anayekujali, muaminifu na mtu aliye muwazi mwenye kukupa uhuru wa kumjua kwa undani ili kukuondoa wasiwasi.
Mapenzi mengi ya siku hizi yamekuwa ya usiri mkubwa yenye mipaka. Kama kweli anakupenda kwa nini akudanganye na akuwekee mipaka ya kumjua? Wakati huo mdomoni kwake ana kila nahau tamu za kimapenzi na kulitamka neno nakupenda kama kiwakilishi.
Huyo si mkweli wala hana mapenzi bali ni muongo aliyejificha nyuma ya neno nakupenda. Kuwa macho na watu hawa sipendi kesho uniulize swali hili.source ya mada hii,Muandishi Joseph shaluwa
HOTUBA YA MUGABE BAADA YA UCHAGUZI
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anatarajiwa kutoa hotuba yake ya kwanza tangu kushinda uchaguzi mkuu wa Zimbabwe zaidi ya wiki moja iliyopita. Mugabe atahutubia umma wakati wa sherehe za kuadhimisha siku ya mashujaa mjini Harare kuwakumbuka wale waliofariki wakipigania uhuru wa taifa hilo.
Chama hicho kimewasilisha malalamiko yake kuhusu uchaguzi mkuu ambao kinasema ulikumbwa na wizi wa kura kikitaka uchaguzi huo kurejelewa.Bwana Mugabe alishinda 61% ya kura kwenye uchaguzi huo uliokamilika tarehe 31 mwezi Julai, huku mpinzani wake Morgan Tsvangirai akichukua nafasi ya pili kwa 35% ya kura zilizopigwa.
Chama cha Mugabe Zanu-PF kilishinda wingi wa viti vya bunge kikipata zaidi ya thuluthi mbili ikiwa ni viti 160 ya viti kati ya 210 vya bunge zima.Sherehe za kuadhimisha siku ya mashujaa Zimbabwe, ni sherehe za kujivunia kwa wazimbabwe wakati ambapo nchi hiyo ilijipatia uhuru wake miaka ya sabini.
Hii leo Mugabe atatoa hotuba yake ya kwanza katika eneo la kumbukumbu la vita hivyo na ambako baadhi ya wapigania uhuru wamezikwa.
Hotuba za Mugabe zinasifika zaidi kwa siasa zake kali za kizalendo, na ambazo zaidi hulenga mkoloni wake wa zamani Uingereza na pia anatarajiwa kujipiga kifua kufuatia ushindi wake mkubwa katika uchaguzi mkuu uliopita mwezi jana.
Chama cha MDC kinasusia sherehe hizo katika kile kinachosema ilikuwa wizi mkubwa wa kura uliofanywa na chama cha Zanu-PF, kwa hivyo sherehe hii bila shaka itazongwa na siasa.
Mugabe bado hajaapishwa kwa muhula wake wa saba akitawala Zimbabwe, kwa sababu ya kesi ya MDC mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
MDC kilisema kina ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa wizi wa kura ulitokea na kwamba kulikuwa na visa vingine vilivyohujumu matokeo ya uchaguzi huo ikiwemo, rushwa , dhuluma na kuvurugwa kwa daftari la wapiga kura.
NIMEIPENDA:::: KUTOMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO NI SAWA NA KOSA LA JINAI AMBALO HUKUMU YAKE NI "KUMWAGANA"
Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele hiki cha Mlima Kilimanjaro…,hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote, kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.
Ni vizuri walio kwenye ndoa kujifunza namna ya
kupeana raha iwapasayo wanandoa kuipata. Kama unafikiri mkeo unaye kwa
sababu amekuja kutafuta kula au kununuliwa magari na nguo, hilo ni kosa.
Tafakari namna ya kupeana raha kwa kila kona.
Kama ni kula, kila mtu anaweza kujitafutia kwa njia mbalimbali kama ni kuuza mama ntilie na kadhalika.
Mwanamke yuko kwa mume kwa sababu anahitaji kupata
vitu ambavyo wanawake huvipata kutoka kwa wanaume; …Mume ndiyo kichwa,
iongoze ndoa yako vizuri kwa hekima; …Kichwa kikiwa ‘bangi’, ubavu (mke)
atafanya nini?
Ni suala la lazima
Kwa asili, inatakiwa mke na mume kufanikisha zoezi
hilo la kuwezeshana kufika kileleni na ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka
jasho mwilini, maana siyo tu mwili unaondoa uchafu ndani ya mwili, pia
inasaidia kuupoza mwili kuwa sawasawa.
Najua wapo wanaoweza kusema aaah mbona mimi nimekaa mwaka sitaki tena mwanaume au mwanamke na sijapata madhara… Inawezekana ni kweli, lakini wengi hupata madhara.
Kadhalika kuna wengine wanafanya vitu vya hatari
kama kutumia vitu mbalimbali kama mwanasesele (sex toys) au mashine
maalumu zenye umbo kama la mwanaume au wengine kujichua au kusagana.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya
madhara madogomadogo ni kama kuwa na hasira za mara kwa mara katika
mambo madogo, hii hasa kwa wanawake ambao walishawahi kuwa na uhusiano
unaokaribiana kuoana au waliwahi kuwa kwenye ndoa kisha wakatoka.
Kwa wanaume madhara yake ni kupendelea zaidi
kuangalia picha za ngono. Kwa wote kwa maana ya wanaume na wanawake huwa
na hali ya kusahausahau.
Kwa wanawake, wapo ambao hutokwa damu nyingi
wakati wa hedhi. Kwa watu wote yaani wanawake na wanaume hupenda kurukia
mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu) na
wakati mwingine huongea kwa sauti ya juu hasa kunapotokea migogoro.
Wengine wana uwezo mkubwa wa kutukana au kutoa kauli yoyote unapomuuzi, anasema Leonard Trelawny katika jarida lake la mageuzi alilochapisha, New York Marekani.
Wengine wana uwezo mkubwa wa kutukana au kutoa kauli yoyote unapomuuzi, anasema Leonard Trelawny katika jarida lake la mageuzi alilochapisha, New York Marekani.
Athari nyingine ni kuumwa na kichwa kwa wanaume na wanawake, kupoteza umakini katika kazi na kwa jumla sehemu za kazi wengi wa watu ambao wamesema hawataki tena kusikia mapenzi, siyo viongozi wazuri, wana kauli chafu, hata uamuzi wao mara nyingi siyo mzuri, ingawa siyo wote.
Hali kadhalika siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila
kinga utaambukizwa kirahisi mno. Aidha, unawaweza kuanzisha tabia
nyingine mbaya kama ulevi, kukaa ofisini tu bila sababu.
Dismas Lyassa ni mtaalamu wa uhusiano aliyesajiliwa na Serikali kupitia taasisi ya Global Source Watch
-Mwananchi
-Mwananchi
KARIBU NYUMBANI FEZA KESSY,........ TULIKUMIS SANA
Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza Kessy kutolewa.
Feza ambaye amefanikiwa kudumu kwenye mchezo kwa siku 77 amekuwa mshiriki wa 20 kuliaga shindano hilo huku Cleo na Dillish waliokuwa dangerzone wakibaki salama.
Feza aliyekuwa ameshikilia bendera ya Tanzania wakati wa eviction hakuonekana kushtuka sana baada ya mtangazaji wa eviction show IK kumtaja kuwa ndiye anayefungasha mizigo, huenda kwasababu tayari alikuwa ameshakata tamaa ya kubaki toka wiki iliyopita.
Matumaini ya Feza yalionekana kufifia kuanzia eviction ya wiki iliyopita ambayo hakuamini kuona amebaki huku kipenzi chake Oneal akitolewa, lakini katika dairy session ya jana jioni masaa machache kabla ya eviction pia alisikika akimwambia biggie “I feel like it is over for me,” baada ya Biggie kumuuliza alimaanisha nini aliposema “I have lost hope but not in a bad way I think it is a defence mechanism”.
Nguvu ya ushindi kwa Feza ilianza kupungua siku kadhaa baada ya kuzama kwenye mapenzi na Oneal kiasi cha kuwafanya washiriki wenzao kuwaona wanajitenga muda mwingi na kujisahahu kuwa wapo mchezoni.
Moja ya maswali ambayo IK alimuuliza Feza baada ya kutoka ni kama bado anampenda Oneal, na jibu lilikuwa “Yes I do”, je unadhani hii inamaanisha kuna kitakachoendelea sasa baada ya ONEZA wote wawili kurudi katika maisha yao ya kawaida?
Baada ya Feza kuondolewa katika The Chase sasa Tanzania inaungana na Kenya na Uganda kubaki kuwa watazamaji baada ya washiriki wote wa Afrika mashariki kutolewa.
Nigeria ndio nchi pekee ambayo mpaka sasa washiriki wake wote wawli Melvin na Beverly bado wako mchezoni wakiwa ni miongoni mwa washiriki 7 waliosalia huku zikiwa zimesalia siku 13 kufika fainali. Unahisi nani ataondoka na $300,000 za Big Brother mwaka huu?
Saturday, August 10, 2013
NEW MNIMBO GENERAL ENTERPRISES LIMITED
NEW
MNIMBO GENERAL ENTERPRISES
LIMITED
P.O BOX 105018
Dar es Salaam Tanzania
Cell: 0767
203691 / 0784 20369 / 0719 965074 / 0754 309346
E-mail mnimboenterprises@yahoo.com
COMPANY
-PROFILE
new mnimbo
General Enterprises Limited was established in 2011. It is situated in
Temeke district Dar es Salaam . New mnimbo General Enterprises
Limited has a reputation for its reliability of server delivery in engineering
and fabrication industries. New Mnimbo General Enterprises supply precision
tooling to the industries including Verniers standard, Dial and digital and
specialized gear tooth micrometers standards and Digital and specialized.
Thread and bore,
cutting tools including High speed steel and amp ; Solid carbide power saw
Blades.
New Mnimbo General
Enterprises Limited also supply a variety to tungsten carbide inserts to the
manufacturing. New Mnimbo General Enterprises Limited tools include General
hand tools, Workshop tools in including Hydraulic pneumatic and mechanic
maintenance and power tools.
PRODUCT &
SERVICES
>eletrical power
transformers
>fasteners, bolt
nuts ,rivets & washers
> firefighting
& rescue equipments
>footware
>General Eletrical
Equipment
>Greases
>Hose
Fittings
>Lifting taccle
& attachment
>Hydralics &
Pneuamatics
>Machine
tools
> Material Handling
Equipment
> Non- Ferrous
metals
>.power tools
>Pulleys
>Pumps
>Safety Equipment
& Clothing
.>Tool die &
Drill Steel
>Washing, Screening
& Cleaning Plant Equipment
>Welding &
Flame cutting equipment
>Wire ropes &
steel cables
>Hardware
>Adhesives
>bearing
>belting
require sites
.>Boilers , steam
generators & super heaters
SHEIKH APIGWA PANGA SWALA YA IDD
na Ibrahim Yassin
SHEIKH Mkuu wa Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya Nuhu Mwafilango, ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa panga baada ya kuzuka kwa vurugu katika msikiti mkuu wa wilaya ya Kyela. Vurugu hizo zilisababisha kujeruhiwa vibaya kwa watu wengine watatu baada ya kushambuliwa kwa mapanga na visu.
Mashuhuda wa tukio hilo wameiambia Tanzania Daima kuwa vurugu hizo zinazoaminika kuwa ni za kugombea madaraka, zilizuka majira ya saa mbili asubuhi jana wakati sheikh huyo akiongoza ibada ya Idd el Fitri katika msikiti huo. Imedaiwa kuwa kundi la vijana likiongozwa na mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari ya kutwa ya Kyela (jina limehifadhiwa) alimshambulia kiongozi huyo kwa panga na kusababisha vurugu kubwa.
Imeelezwa kuwa kikundi hicho cha vijana ambao baadhi yao wanadaiwa kukodiwa kutoka katika misikiti ya mikoa jirani, wakiwa na mapanga, nondo na visu walianza mashambulizi hayo, na ndipo wakakumbana na hasira za waumini wengine waliokuwa wamejiandaa kukabiliana na mashambulizi hayo. Mmoja wa vijana waliojeruhiwa vibaya kichwani ametajwa kwa jina la Hamis Hussein ambaye alipambana na vijana walioanza kumshambulia sheikh huyo. Imedaiwa kuwa kulikuwa na fununu za kuzuka kwa mapigano hayo, hatua iliyofanya uongozi wa msikiti kutoa taarifa polisi ambao walijipenyeza katika swala hiyo ya Idd.
Wengine waliojeruhiwa vibaya ni mmoja aliyetajwa kwa jina la Magogo anayetuhumiwa kuchochea vurugu na mapigano hayo katika kile kilichoelezwa jitihada za kuwaondoa viongozi walioko msikitini na kuwadhamini vijana ambao wanadaiwa kuwa ni waasi wa msikiti huo.
Akizungumza na Tanzania Daima Mwenyekiti wa BAKWATA Wilaya ya Kyela Daud Mwenda alisema kuwa kikundi hicho kinapingana na uongozi uliopo msikitini hapo hivyo wanataka kushinikiza waumini wengine waupindue uongozi uliopo. Mganga wa zamu katika Hospitali ya Wilaya ya Kyela ambaye hakutaka kutaja jina lake alikiri kupokea majeruhi watatu waliotokana na vurugu hizo. Kwa upande wake Afisa Tarafa ya Unyakyusa Helly William alisema kuwa ofisi yake imepokea taarifa za vurugu katika msikiti huo na kudai kuwa jambo hilo limewasikitisha sana kama viongozi wa serikali.
William alisema msikitini sio mahali pa kufanyia vurugu bali eneo takatifu linalotumiwa na watu kumuabudu Mungu.
RESPECT TANZANIA DAIMA
Friday, August 9, 2013
BREAKING NEWS:::: MILLIONI 10 KWA ATAKAE FANIKISHA KUKATWA KWA WAHUSIKA WA TINDIKALI ZANZIBAR......
Polisi nchini Zanzibar wameahidi kutoa zawadi ya shilingi milioni 10 za Tanzania kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa kwa watu waliowashambulia wasichana wawili waingereza kwa Tindikali.
Wasichana hao kutoka London, Kirstie Trup na Katie Gee, walirushiwa Tindikali kwenye nyuso zao walipokuwa wanatembea mjini Jumatano Jioni.
Polisi wanasema kuwa hizo ni pesa nyingi sana kisiwani Zanzibar.Serikali ya Zianzibar ndio itakayotoa zawadi hiyo.
Kirstie Trup na Katie Gee, wote wenye umri wa miaka 18 kutoka London, walipelekwa hospitalini nchini Tanzania baada ya kushambuliwa Mashariki mwa kisiwa hicho.
Inaaminika kuwa walitoka Tanzania kuelekea Uingereza Alhamisi usiku.
Mama za wasichana hao, Rochelle Trup na Nicky Gee, walielezea kughadhabishwa mno na shambulizi hilo ambalo sababu yake haiwezi kujulikana na ambalo halikuchochewa kivyovyote. Walishambuliwa na wanaume wawili waliokuwa kwenye pikipiki.
Polisi walisema kuwa walirushiwa Acid kwenye nyuso zao, kifuani na kwenye mikono yao walipokuwa wanatembea mjini .
Mwandishi wa BBC anasema kuwa waliowashambulia walitoroka na polisi hawajui kwa nini wanawake hao walilengwa.
Mama za wasichana hao walisema kwenye taarifa yao kuwa walighadhabishwa mno na shambulizi hilo na hawaelewi kwa nini wasichana hao walishambuliwa ili hali walikwenda Zanzibar kwa nia njema.
'Tunashukuru kwa wale wanaotaka kujua kinachoendelea lakini tungeomba vyombo vya habari vituwache kwa sasa hadi tutakapokutana na watoto wetu,'' alisema msemaji wa familia za wasichana hao.
Wasichana hao walikuwa wamekaa Zanzibar kwa muda wa wiki mbili ingawa walitarajiwa kuwa huko kwa wiki tatu, kupitia kwa kampuni ya usafiri ya i-to-i Travel, ambayo ilisema inafanya kila iwezalo kuwarejesha nyumbani Uingereza.
Kari Korhonen, mkurugenzi mwenza wa kampuni ambayo wasichana hao walikuwa wanafanyia kazi, alisema kuwa hali yao si mbaya ikizingatiwa athari za Acid kwa mwili na visa ambavyo vimewahi kushuhudiwa vya kuchomwa kwa Tindikali
Msemaji mwingine aliongeza kuwa wasichana hao walikuwa njiani kuelekea kwa maankuli ya jioni wakati wa shambulizi hilo.
Thursday, August 8, 2013
HII KALI: WANAUME WA KIAFRIKA WANAONGOZA KUWA NA UUME MKUBWA....
Kwa sababu ambazo binafsi sizielewi, mwanasayansi mmoja kutoka nchini Ireland aliamua
kufanya “utafiti” wa kulinganisha wastani wa ukubwa wa uume wa watu wa nchi mbalimbali. Alifanya utafiti huo kwa kulinganisha mataifa 113, ambapo wanaume wa Afrika ndio waliongoza kwa ukubwa na Waasia walikua wa mwisho.
Utafiti huo ulifanywa na Profesa wa saikolojia, Richard Lynn, wa Chuo Kikuu cha Ulster na utachapishwa katika jarida la kisayansi la Personality and Individual Differences. Profesa huyo alisema matokeo ya utafiti wake yamethibitisha nadharia ya awali kuhusu mahusiano ya urefu wa uume, ya kwamba Negroids(watu weusi) ndio wanaoongoza kwa ukubwa wa wastani wa uume, na Mongoloids (Waasia) ndio wana wastani mdogo kuliko watu wote.
Top 4 kati ya nchi zote 113
1. Congo ndio wanaoongoza kwa urefu wa wastani wa uume ambao ni inchi 7.1
2. Ecuador kwenye wastani wa inchi 7.0,
3. Waghana inchi 6.8; na
4. Raia wa Colombia inchi 6.7.
Katika wanaume wa Ulaya,
1. Wataliano ndio walioongoza na wastani wa inchi 6.2
2. Ugiriki inchi 5.8
3.Ujerumani inchi 5.7
4. Waingereza inchi 5.5 , na
5. Wafaransa, inchi 5.3
Walioongoza kwa udogo katika mataifa yote yaliyofanyiwa utafiti ni Korea zote mbili (Kaskazini na Korea ya Kusini) ambao wote kipimo chao, ni wastani wa inchi 3.8.
Swali je Tanzania tupo wangapi?
USHAHIDI
DIVA WA CLOUDS FM TENA......... "SIJAWAHI ONA MWANAUME MZURI KAMA PREZZO HAPA DUNIANI"
Kwa mara nyingine tena, mtangazaji wa Clouds fm maarufu wa jina la DIVA amejitosa Istagram na kuanza kuisifia suruali yake ( Prezzo) huku akiwaponda wanaume wa kibongo na wale wote wanaomchukia Prezzo....
“The way my heart beats for u Mentiond of your name, One touch never enough you driving me Insane, swing me take you back, who am i to blame but myself, need you back in my life simple and plain, Crazy nights arguments running towards the door, lying to myself that I don’t wanting you no more.
"No matter what we been through You’re the only man that I adore… you are the only one I need in this world.. see People use to tell me I was Crazy, told me not to give in, told me that you would never love me all I did is pretend.
"I told them to mind their business Cause they are not in my Position… when I said I was in love… they said with that UGLY face ‘ girl you tripping…
"I cut the negativity cut the haters off and I got into my man… coz I take him for all he is.. and he takes me as I am.
"The way I feel about him is God’s Perfect plan. Everyone know I am his girl……he is the Only One I need. habari ndio hiyo. Sibadiliki and haachwi mtu.”
HUU NDO UJUMBE WAKE KWENU
“The way my heart beats for u Mentiond of your name, One touch never enough you driving me Insane, swing me take you back, who am i to blame but myself, need you back in my life simple and plain, Crazy nights arguments running towards the door, lying to myself that I don’t wanting you no more.
"No matter what we been through You’re the only man that I adore… you are the only one I need in this world.. see People use to tell me I was Crazy, told me not to give in, told me that you would never love me all I did is pretend.
"I told them to mind their business Cause they are not in my Position… when I said I was in love… they said with that UGLY face ‘ girl you tripping…
"I cut the negativity cut the haters off and I got into my man… coz I take him for all he is.. and he takes me as I am.
"The way I feel about him is God’s Perfect plan. Everyone know I am his girl……he is the Only One I need. habari ndio hiyo. Sibadiliki and haachwi mtu.”
Wednesday, August 7, 2013
SABABU ZA KIBIASHARA ZAIHAMISHIA BONGO STAR SEARCH (BSS) TBC1!!!!!!
Epiq Bongo Star Search ya mwaka 2013 haitaoneshwa tena kupitia ITV. Mwaka huu shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba litakuwa likioneshwa kupitia TBC1.
Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam Rita ambaye ni mwanzilishi na jaji mkuu wa shindano hilo ametoa sababu mbili za kuhamisha matangazo hayo kutoka ITV hadi TBC1.
“Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili za kurusha Epiq Bongo Star Search 2013 kupitia kituo cha Televisheni cha TBC1.
Kwanza kabisa ni sababu za kibiashara ndio zimepelekea kipindi cha EBSS kurushwa kupitia TBC1 na sababu ya pili ni kwamba baada ya kwenda kidigitali, TBC1 sasa inapatikana kwenye ving’amuzi karibia vyote vikiwemo Star Times, DSTV na Zuku.”
Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam Rita ambaye ni mwanzilishi na jaji mkuu wa shindano hilo ametoa sababu mbili za kuhamisha matangazo hayo kutoka ITV hadi TBC1.
“Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili za kurusha Epiq Bongo Star Search 2013 kupitia kituo cha Televisheni cha TBC1.
Kwanza kabisa ni sababu za kibiashara ndio zimepelekea kipindi cha EBSS kurushwa kupitia TBC1 na sababu ya pili ni kwamba baada ya kwenda kidigitali, TBC1 sasa inapatikana kwenye ving’amuzi karibia vyote vikiwemo Star Times, DSTV na Zuku.”
Monday, August 5, 2013
18+ NDANI YA DARASA HURU: KWA VIGEZO HIVI KIDUME UTAPENDWA TU!!!!!!!!!!!!
Jana kulikua na kikao cha dharura na cha ndani ya TEAM TRUTH ambapo moja ajenda ilikua ni kunipongeza mimi (TEAM TRUTH 18+) kwa kazi nzuri ninayo ifanya na kwa ratiba ilikua nimalize session hii ya mapenzi jumatatu ila nikapewa muda zaidi hivyo kuamua leo kudondoka na hii kwa ajili ya mabrother wenzangu............................
watu wengi wamekua wakitafuta jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake na ni wazi kila mwanamke ana chaguo lake kwa mwanaume ampendae huendaa ukawa na vigezo kibao na bado akapenda vigezo vichache na ukabaki unashangaa why kantosa?
KWA MSAADA TEAM TRUTH 18+ NIMEAMUA KUDONDOKA NA VIGEZO 10 AMBAVYO NI KIVUTIO KWA WASICHA AU WANAWAKE WENGI.....................................................
wengi watajiuliza why not pesa? jibu ni rahisi sana imetokea mara nyingi mtu akapendwa tu bila kujali pesa na watu pia wakashangaa mbona hata sura hana? mchunguze mtu huyu kuna kigezo lazima kakuzidi na ukikigundua BELIEVE ME YOU WILL ALWAYS STAY CONNECTED WITH GIRLS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
1) kuwa na malengo yote ya muda mfupi na mrefu katika maisha yako na misimamo isiyo tingishika.
2) mwenye kujiamini.
3)mwenye kutunza siri na si mropokaji ovyo.
4) mcheshi (na hii kivutio kwa wasichana walio wengi)
5) hisia na uadilifu.
6) mwenye kusamehe tena na kusahau.
7) mwenye kujithamini.
8) mwenye utashi na upeo wa mambo.
9) huruma na heshima kwa wote wadogo na wakubwa
10) mwenye hadhi na mtanashati katika mambo yake ikiwemo uwezo binafsi wa upembuzi wa mambo.
Sunday, August 4, 2013
18+ NDANI YA DARASA HURU; USAGAJI (lesbianism) KWA WANAWAKE NA SABABU ZAKE. (VERY SENSITIVE IN TANZANIA HASA KWA MASTAAA)
SAMAHANI KWA PICHA HII
Usagaji (lesbianism) ni tabia ya wasichana/wanawake kujiridhisha kimapenzi wenyewe pasi kuhitaji kuridhishwa na mwanaume. Wasichana hawa hutumia vidole, ulimi na hata sex toys (dildo) kama zana wakati wa kufanya tendo hilo. Wengi wa wasichana wanaojihusisha na tabia hiyo hufurahia zaid tendo hilo tena kuliko hata wakifanya na wanaume na hivyo kuwafanya wajione kwamba hawana sababu ya kuwa na partners wa kiume. Zifuatazo hapa chini ni sababu ambazo kwa mtazamo wangu ambazo naziona ndio sababisho la wasichana wengi kujiingiza kwenye tabia hii na hata kuona ndiyo maisha yao.
Sababu hizo kwa mtazamo wangu ni hizi hapa
• Kuiga kutoka kwa wenzao: wengi wa wasichana ambao wamejikuta wanatabia hii wameiiga kwa wenzao, hasa wanapokuwa kwenye eneo ambalo wapo wenyewe kama vile shule hasa za bweni na maisha ya hosteli. Wasichana wengi ambao walisoma shule za bweni ama kuish maisha ya hosteli walijikuta wanafundishwa tabia hii na wenzao ambao tayari walikuwa wameshaanza tabia hizi toka kabla ya kuja shule.
• Kutaka kujiexplore: kwa kawaida watoto hupenda kujiexplore viungo vyako, yaani watoto wakiwa wadogo hutaka kujidadisi wawe wa kiume ama wa kike. Mfano mzuri watoto wa kiume wanapokuwa pamoja hata wakioga hujikuta wanachezeana sehem zao za siri hadi uume unasimama, like wise watoto wa kike hupenda kujidadisi kwa kucunguliana sehem zao za siri. Tabia hii kwa umri wa udogo huwa haina neon manake khuishia hapo lakini wapo wachache ambao tabia hii hawaiachi huiendeleza hadi ukubwani na hivyo kuwa ni sababisho la kujiingiza kwenye same sex plays.
• Hormonal make up: hii hutokana na jinsi binti alivyzaliwa. Kuna baadhi ya mabianti ambao wamezaliwa na hormone za kiume na hivyo kujikuta kwamba wanatabia za kiume. Wengi wa mabinti ambao wana tabia hizi kwenye mashule ya bweni huwa na desturi ya kuoa na hivyo kuitana mume na mke na wao huwa na tabia za kukaa kimapenzi mapenzi na hwa wanaowaita waume ama wake. Wasichana kama hawa huweza kuwashawishi sana wale ambao ni wasichana wa kawaida hadi kujikuta wanaanza tabia hii ya kusagana wakiwa mashuleni na wakisha ianza basi huwa siyo rahisi kuiacha mpaka nguvu nying zimetumika kumfanya aache.
• Raha itokanayo na tendo lenyewe: wengi wa wasichana /mabinti wanaoshiriki tendo hili huwa wanadai wanaridhika sana kimapenzi wanapofanya hivi ukilinganisha na wakiwa wanafanya na wanaume. Kutokana na tabia hii wengi wa wanwake ambao wako kwenye mahusiano ya kindoa hujikuta wanafanya hii tabia ili tu kuridhika kwasababu wanapofanya na jinsia ya kiume hawaridhiki.
• Maudhi ya mahusiano ya heterosexual, maudhi yatokanayo na mahusianoa ya jinsia mbili huwa yanawakinai wengi wa wasichana/ wanawake na hivyo kugeukia upande wa pili ambapo wanaamini kwamba hakuna maudhi hayo. Wanajua wazi kwamba wakiwa wenyewe watabembelezana, na kupeana raha zisizokuwa na maudhi.
• Umbali kutoka walipo wenzi wao: kuna tabia ambayo imeibuka siku hizi na kwa masiksitiko makubwa sana inafanywa na wanawake ambao wenzi wao wako mbali nao. Baadhi ya wanawake ambao waume zao wako mbali nao kwa mauda mrefu wamejikuta wakiwa na mahusiano na jinsia moja kwa kigezo kwamba hawataki kuwasaliti waume zao. Na kwamba wanataka waume zao wakirudi wawakute hawajatumika kabisa. Sikatai usaliti ni mbaya lakini hata huu wa jinsia moja nao ni usaliti tu.
Ikumbukwe kwamba mahusiano ya jinsia ya aina moja haimaaniash kwamba hayana maambukizi ya magonjwa kama HIV/AIDS and the like hivyo yeyote anayefanya hivi kwa kigezo kwamba anataka kujikinga na magonjwa anajiongopea na kwamba chances za infection huwa kubwa tu.
Pia ni kujidanganya sana kusema kwamba mapenzi ya jinsia moja ama ya usagaji ni matamu sana kwani huwa mwanaume akifundishwa kufanya kama vile ambavyo mwanamke msagaji anaweza kufanya basi mapenzi haya yatakuwa na raha kama kawaida. Haina maana kwamba mwanamke tu ndio anayeweza kutumia ulimi wake ama kidole chake ili kumpatia mwenzie raha, ila hata mwanaume pia anaweza kutumia vitu hivi na hivyo kumpatia raha mwenzie.
Pia tabia hii ya usagaji kwa wale ambao wanaifanya hasa pale waume zao wanapokuwa safarini, eti kisa wanataka waume wakirudi wawakute hawajazini wanajidaganya sana kwani kusagana na kuzini kwa kawaida kote ni kuzini hata kama hukuingiziwa kitu ndani ya uke. Kinacho determine kutokuwa mwaminifu ni kitendo cha usaliti iwe umezini na mtu mume ama mwanamke mwenzio. Hivyo usidanganye nafsi yako kwamba huwez kuzini na mwanaume kisa utamsaliti mumeo, ukasahau kwamba hata na huyo mwanamke mwenzio pia ni usaliti.
reference
Subscribe to:
Posts (Atom)