Mashabiki wa Diamond Platnumz hawajaipenda picha yake inayomuonesha akionesha kidole cha kati aka ‘the middle finger’.
“Is this the right finger that you are talkin about @roma2030
…?” ameandika kwenye picha ya Instagram aliyopiga na rapper Roma
Mkatoliki
Hata hivyo picha hiyo imevuta hisia za mashabiki wenye hasira
waliomwangushia mvua ya madongo kwenye Instagram ambapo ana followers
zaidi ya 36,100 hadi sasa.
Hizi ni baadhi ya comments:
Mafuruzenkonoki: Umekua sasa hivi kijana, hizo ishara haziendani na ulivyo! Change!
Lugnno: Umeimba wimbo ma mc mara matus mara bang
umekuwa mc naona inshara ya tus kwenye kdole cmon usizd sana hta km upo
mbal utakosea km wkt ule ulvua surual takecare man sijaipenda
luvcartel: Astaghafurullah… juzi ulikua muislam leo ushakua kafir? Subhannallah
ladisdallaz: The middle finger? To u nt to us
mmolezson: Diamond n Roma nyie wote wajinga tu, mtu
yeyote mwenye akili timamu and rational awez point finger lik dat then
anapoist kwenye social networks ili jamaa waone.
Alice_aswile: Aah hapana diamond,hivyo vitu hapa cio mahali pake loh,hivyo mfanyie demu wako gheto.
Makitoti: Ain’t ryt diamond ….just ain’t ryt, we love ur music Ila that pic!!!!naaaah,haifai
Mmolezson: Kwa hyo hcho kidole mnatuoneshea sis ee, hv
unawakumbka wasanii hpa Tz ambao walikuwa maaruf kulko nyie? Je saiz wko
wp ee na wala hawakuwa na tabia za limbuken kma ww free lancer. I hate u
mother***
Trofmo: Very disappointin… Ww km Kioo cha jamii
unataka tuelewe vip hii picha?! Plz dis z Tz not states! Our culture is
decency & dignity!!! Behave..
Chocolatedesweetness: This is too much……..!!!
Umeanza kulewa mafanikio eeenhe, ngozi nyeusi taaabu sana, U better
apologise and delete this photo before its too late!U shauri tu
No comments:
Post a Comment