|
HUYU NDIYE DIRECTOR WA VIDEO HII,Anayefahamika kwa jina la BACKAMAZA | |
|
|
Akizungumza na blog yetu juu ya maandalizi ya video hii ambayo inasadikika kuwa video ya kwanza yenye ubora kutoka dodoma,director huyo amesema"Huu ni mwanzo wa safari niliyoitamani kwa mda mrefu na sasa nahitaji sappot kutoka kwa wapenzi wa mziki make najipanga kuanza kwa mwanzo ulioimara,Navutiwa na Nisher so nitakaza mpaka nione mwisho.Huu utakuwa ni mfulizo wa video kali from Dodoma kikubwa ni kupeana sapoti." UKIJIKUBALI YOOTE YANAWERZEKANA CHECK UJIO MPYA WA BACKAMAZA ambaye kwa sasa ni Director Gumzo ndani ya Dodoma kutokana na kazi anazofanya,kutoka Isay had leo ndani ya BIZNESS GAL ya ANDRE K ft. SLOGAN.
|
Add caption |
VIDEO ITATOKA MDA SI MREFU NDANI YA WIKI HII KAA TAYARI!!! kwa mara kwanza itaonekana kwenye BLOG YETU
No comments:
Post a Comment