Saturday, September 7, 2013

Bizness gal VIDEO MAKING YAKE Andre K ft Slogan (MUCH CREDIT TO Director: Backamaza)

Photo: video director Erick Backamaza,BAADA YA KIMYA KIREFU NIMERUDI KIIVI...kwani me na tatizo na Mtu? We subiri mda ndo utasema
hiyo ni sub insert ya msanii SOMETIMEZ na hit yake 2Late,location ilikuwa ni HIP HOP DOPE song Bzness Gal yakwake Andre Kim na Slogan Fanya kunipa TIME NIFANYE YANGU af tuone ujio huu

Photo: NAFARIJIKA SANA PALE NAPO 
DHARAULIKA KWA WACHACHE WANAO NIJUA,HUKU IKINIPA NAFASI YA KUHESHIMIKA 
KWA WENGI WASIO NIJUA" Aluta Kontinua
Backamaza,2013



Hizi ni baadhi ya picha katika kuifanya screen ya TV yako ing'ae..... video ipo directed na BACKAMAZA. KAENI MKAO WA KUKU

No comments:

Post a Comment